Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo yaNdani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kuanzia leo tarehe 20 Mei, 2016.Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kufuatia kitendo cha Mheshimiwa Charles Kitwanga kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.
Zilianza kuandikwa siku ya May 17 2016 baada ya mastaa wawili kutoka kiwanda cha bongoflevani kurushiana maneno katika post zao walizozipost kwenye mtandao wa Instagram, Stori ilianzia kwenye Picha, lakini this time kila moja ameongea.Baada ya Shilole na Vanessa Mdee kurushiana Maneno kupitia Picha zao kila mmoja kwa time yake amezungumza na nakufunguka haya..Vanessa Mdee alifunguka maneno haya>>Nadhani nimeshasema kilakitu ambacho kinahitaji kusemwa kama umesoma post yangu utakuwaumeshaelewa kama hujasoma sawa sihitaji kurudia kitu’Shilole na yeye kuyafunguka haya>>’acha nimnyooshe kapanic kuona Say my name imetoka na mimi kuzinguliwa sitaki kuna mahalikaenda kuniongelea vibaya na asitamani kuonana na Shishi atatamani kuadithia vibao nilivyokuwa natoa somewhere